JPM atengua uteuzi wa Profesa Ntalikwa

Profesa Justin Ntalikwa.

Muktasari:

  • Taarifa iliyotumwa kwa vyombo vya habari na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Ikulu, imesema nafasi ya Profesa Ntalikwa itajazwa baadaye.

Dar es Salaam. Rais John Magufuli, leo ametengua uteuzi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Profesa Justin Ntalikwa.

Taarifa iliyotumwa kwa vyombo vya habari na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Ikulu, imesema nafasi ya Profesa Ntalikwa itajazwa baadaye.