Joto la Magufuli lahamia vikao vya CCM

Rais John Magufuli

Muktasari:

Magufuli, ambaye alichaguliwa Julai 23 kuwa mwenyekiti wa CCM, atakuwa akiongoza kikao chake cha kwanza cha Kamati Kuu huku akitarajia kuhamishia cheche zake katika vikao hivyo.

Dar es Salaam. Vikao vya kwanza vya CCM tangu Rais John Magufuli achaguliwe kuwa mwenyekiti vitaanza Jumapili jijini Dar es Salaam, vikitarajiwa pamoja na mambo mengine kupitisha mabadiliko ya sekretarieti yake, hali ya uchumi na kujipanga kwa chaguzi zinazofuata.

Magufuli, ambaye alichaguliwa Julai 23 kuwa mwenyekiti wa CCM, atakuwa akiongoza kikao chake cha kwanza cha Kamati Kuu huku akitarajia kuhamishia cheche zake katika vikao hivyo.

Habari zaidi soma gazeti la Mwananchi