Kitaifa

Mbunge wa Chambani Afariki

Share bookmark Print Email
Email this article to a friend

Submit Cancel
Rating

Mbunge wa Chambani (CUF),marehemu Salim Hemed Khamis akiwa amebebwa na baadhi ya wabunge na watumishi wa Bunge baada ya kuanguka ghafla wakati akihudhuria vikao vya kamati za Bunge jana. Picha na Nuzulack Dausen. Posted  Alhamisi,Marchi28  2013  saa 15:9 PM
SHARE THIS STORY

Habari zilizotufikia mchana huu zinasema,Mbunge wa Chambani(CUF),Salim Hemed Khamis aliyeanguka ghafla jana katika Vikao vya kamati ya Bunge,amefariki.

Amefariki katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili mipango ya mazishi na kumsafirisha inafanyika, kwa habari zaidi ungana nasi baadae. au soma gazeti la mwananchi kesho.