Vita ya ubingwa Yanga, Simba inavyosubiri majibu ya mwisho Matokeo hayo yameifanya Yanga iendelee kuongoza msimamo wa Ligi ikifikisha pointi 72 huku Simba ikifikisha pointi 70 na kuendelea kubaki katika nafasi ya pili.
Mayele, Wissa waibeba DR Congo ikitinga 32 bora DR Congo imefanya kweli ikitoka nyuma na kushinda mchezo dhidi ya Uzbekistan, ikikata tiketi ya hatua ya 32 bora kwenye fainali za Kombe la Dunia zinazoendelea.
Idara ya Kilimo na Uhakika wa Chakula: Nguzo muhimu ya kuhakikisha upatikanaji na usalama wa chakula Zanzibar
Rais Mwinyi: Ujenzi barabara, hoteli umeongeza thamani ya ardhi Z'bar Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema ujenzi wa barabara na hoteli unaoendelea kisiwani humo vinachangia ongezeko la mahitaji makubwa ya ardhi hatua inayoweza kuchochea migogoro ya ardhi...
TRA Tanga walivyovuka lengo la makusanyo, RC asema… Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Tanga imeandika historia ya mafanikio makubwa katika kipindi cha miaka 30 tangu kuanzishwa kwake mwaka 1996, ambapo makusanyo ya kodi yameongezeka kutoka...
Afrika ilivyojibu kwa hekima chuki za Gattuso Baada ya Italia kuwa katika uwezekano finyu wa kufuzu Kombe la Dunia 2026, mwezi Novemba mwaka jana, kiungo wa zamani wa Italia, Gennaro Gattuso alitoa maoni yaliyotafsiriwa na wengi kuwa ni...
Ndani ya Boksi: Nora, Sinta, Nina na Kissa! Achana na Waridi. Kuna Aisha na Natasha. Achana na Monalisa. Ni kwamba hawa walikuwa alama sahihi ya sanaa ya uigizaji nchini. Kiumeni wakiwepo kina Sumbi na Bocha, Bishanga, Rich Richie na...
Mifumo ya kidijitali ni silaha ya kuongeza mapato Katika kipindi hiki ambacho Serikali ya Tanzania imeweka mkazo mkubwa katika kujitegemea kifedha na kupunguza utegemezi wa mikopo pamoja na misaada kutoka nje, suala la kuongeza ukusanyaji wa...
Tusiwacheke na kuwahukumu wenza wanapoachana Kawaida, wawili wafungapo ndoa hutegemea kuishi pamoja hadi kifo kiwatenganishe. Haya ndiyo maneno wasemayo katika viapo vya ndoa kwa Wakristo.