PRIME Peneza arusha kombora Chadema, wenyewe wajibu Aliyewahi kuwa Mbunge wa Viti Maalumu wa Chadema, Upendo Peneza amekishutumu chama chake cha zamani, akidai kilikuwa kikiwachangisha fedha wabunge, lakini matumizi yake hayakuwahi kuwekwa wazi.
PRIME Aliyefungwa miaka 30 jela kwa ukatili, afungwa tena miaka 30 kwa ubakaji Asema kwa umri alionao, anaomba apunguziwe adhabu, isiwe kama Mlima Kilimanjaro
Watumiaji soda, juisi hatarini kupata shinikizo la juu la damu Wanywaji wa soda, juisi za kusindikwa viwandani na vinywaji vya kuongeza nguvu (energy drinks) wako katika hatari ya kupata shinikizo la juu la damu, imeelezwa.
Waziri Nape aja na bajeti ya mapinduzi ya kidijitali Wakati Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imetangaza kuleta mapinduzi ya kidijitali, pia imesema itawasilisha bungeni muswada wa sheria ya kuwalinda watoto na mitandao.
PRIME Dk Bagonza ataja kasoro za demokrasia Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe, Dk Benson Bagonza amezitaja kasoro 10 za mfumo wa kidemokrasia nchini, huku akisema kukosekana kwa demokrasia ni...
ACT-Wazalendo, CUF vyasusia uchaguzi Kwahani Chama cha ACT-Wazalendo kimetangaza kususia uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la Kwahani mjini Unguja utakaofanyika Juni 8, 2024.
Wataka fursa ziguse wakulima, wafugaji wadogo Wadau wa kilimo, uvuvi na ufugaji wamesema hatua ya Serikali ya kuendelea kuzifungamanisha taasisi za fedha na sekta hizo ni hatua nzuri.
Tume ya Uchaguzi mguu sawa uchaguzi mkuu 2025 Kwa kuzingatia matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022, amesema daftari linatarajiwa kuwa na wapiga kura 34,746,638 kutoka wapiga kura 29,754,699 wa mwaka 2020 sawa na ongezeko la wapiga...
ACT-Wazalendo, CUF vyasusia uchaguzi Kwahani Chama cha ACT-Wazalendo kimetangaza kususia uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la Kwahani mjini Unguja utakaofanyika Juni 8, 2024.
PRIME Biashara ya mkaa pasua kichwa, yafikia Sh69.9 bilioni Wakati dunia ikiendelea kupigia chapuo matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa ajili ya kulinda mazingira, hali bado ni tete kwa upande wa Tanzania, ambayo uuzaji wa mkaa umeongezeka kwa karibia...
Sh31.5 bilioni kujenga kituo cha kulea vipaji Malya Serikali inajenga kituo cha kulea vipaji vya michezo chenye thamani ya Sh31.5 bilioni katika Chuo cha Maendeleo ya Michezo Malya wilayani Kwimba ili kuendeleza michezo mkoani humo.
Mjadala kifo cha Mohbad wafungwa Baada ya kusubiri majibu ya vipimo ya mwili wa mwanamuziki kutoka Nigeria Mohbad kwa miezi nane sasa, Daktari Bingwa wa Uchunguzi wa Kisayansi na Patholojia kutoka Hospitali ya Taaluma ya Chuo...
Unataka kuwekeza katika hatifungani za Serikali? Fanya hivi… Kama tulivyoangalia kwenye toleo lililopita, uwekezaji katika hatifungani unaweza kuwa njia nzuri ya kujipatia kipato kwa wawekezaji. Iwapo unataka kuwekeza kwenye hatifungani za Serikali fuata...
Mambo matano ya kufanya unapokutana tena na mpenzi uliyeachana naye Dakika chache za kwanza tunapokutana na wapenzi wetu baada ya kuachana kwa kitambo kifupi zina umuhimu.