Kongamano kuhusu ripoti ya mchanga laja

Dar es Salaam.Chama cha ACT-Wazalendo kimeandaa kongamano la kitaifa kuchambua ripoti ya Tume ya kuchunguza usafirishaji wa mchanga.

Akizungumza na waandishi wa habari Katibu wa Itikadi, Mawasiliano na Uenezi, Ado Shaibu amesema kongamano hilo litafanyika Dar es Salaam Juni 3.

Amesema kwenye kongamano hilo watakuwepo wataalamu wa madin ambao watazungumza