Lissu aibuka kidedea tena mahakamani

Tundu Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki

Muktasari:

Lissu, ambaye ni Mbunge wa Singida Mashariki kwa tiketi ya Chadema  alipandishwa kizimbani Agosti 5, na kusomewa mashtaka matatu, mawili kati yake yakiwa ni ya uchochezi na moja la kuidharau mahakama

Dar es Salaam. Serikali imepigwa mweleka katika kesi ya uchochezi dhidi ya mshtakiwa Tundu Lissu baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kutupa pingamizi la Wakili wa Serikali kutaka wakili Peter Kibatala kujitoa kumtetea mwanasiasa huyo.

Lissu, ambaye ni Mbunge wa Singida Mashariki kwa tiketi ya Chadema  alipandishwa kizimbani Agosti 5, na kusomewa mashtaka matatu, mawili kati yake yakiwa ni ya uchochezi na moja la kuidharau mahakama

Kwa taarifa zaidi nunua gazeti lako la Mwananchi au soma mtandaoni kupitia www.epaper.mcl.co.tz