Magufuli aweka saini mkataba wa serikali na ATCL

Rais John Magufuli

Muktasari:

Alikuwa akihutubia kabla ya kuzindua ndege mbili mpya aina ya Bombadier Q 400 zilizonunuliwa Canada.

Baada ya kumaliza kuhutubia Rais John Magufuli sasa anaweka saini mkataba wa serikali wa kuikodisha ndege ATCL.

Alikuwa akihutubia kabla ya kuzindua ndege mbili mpya aina ya Bombadier Q 400 zilizonunuliwa Canada.

 Pamoja na mambo mengine, Rais amesema fedha za kununulia ndege mbili zipo na kuiata wizara iendelee kushindanisha kampuni  za kutengeneza dnege kwa kuwa huwa wanashusha bei.