Mambo sita ya kuzingatia mwishoni mwa wiki

Dar es Salaam.  Wakati tukielekea kuikamilisha wiki hii, Mtandao wa Wanasaikolojia Uingereza, (UK Psychologicalexperts) umetoa mawazo kadhaa ya kukujenga unapomaliza wiki.

* Jiamini

*Acha kutumia muda mwingi kufikiri badala ya kutenda

*Fanya kazi kwa bidii

*Epuka kuahirisha hairisha mambo

*Kuwa mnyenyekevu

* Kuwa rafiki mwema