Manji atoa uthibitisho wa dawa alizokuwa anatumia

Muktasari:

  • Ametoa uthibisho wa baruapepe kutoka kwa daktari wake wa Marekani

Mfanyabiashara Yusuph Manji, leo Jumatatu amepanda kizimbani kujitetea katika shtaka linalomkabili la matumizi ya dawa za kulevya ambapo akiongozwa na Wakili wake Hajra Mungula.

Manji ameionyesha Mahakama udhibitisho uliotumwa na daktari wake kutoka Marekani kwa njia ya baruapepe wa aina ya dawa alizokuwa akitumia. Soma Zaidi