Ofa hii mpya ya Barcelona kwa Coutinho haitamuacha salama

Muktasari:

  • Ofa hii huenda isimuache salama Courtino ambaye inasemekana amepanga kugomea mazoezi ili kuishinikiza klabu yake kumuuuza.

Hispania. Klabu ya Barcelona imetuma ofa nyingine ya tatu kwa mshambuliaji wa Liverpool, Philippe Coutinho inayofikia dau ya Pauni milioi 118 milioni.

Ofa hii huenda isimuache salama Courtino ambaye inasemekana amepanga kugomea mazoezi ili kuishinikiza klabu yake kumuuuza.

Hata hivyo, Kocha wa Liverpool ameshaweka bayana kwamba mchezaji huyo hauzwi klabuni hapo kwenye dirisha la hili la usajili msimu wa kiangazi.