Viongozi Simba wafurika Zanzibar

Muktasari:

  • Viongozi hao waliingia jana Jumatano ameungana na Aveva kwa lengo la kuwasha morali ya wachezaji.
  • Viongozi hao ni pamoja na Musley,  Mohamed Mkigoma, Jamhuri Kihwelo, Haji Manara.

Jopo la viongozi wa Simba wakiongozwa na rais evance Aveva, wapo Zanzibar kushuhudia mazoezi ya kikosi chao kwenye Uwanja wa Amaan.

Viongozi hao waliingia jana Jumatano ameungana na Aveva kwa lengo la kuwasha morali ya wachezaji.

Viongozi hao ni pamoja na Musley,  Mohamed Mkigoma, Jamhuri Kihwelo, Haji Manara.

Ujio wa viongozi hao unaonyesha ishara njema kwa wachezaji wa Simba wanaojindaa na mechi dhidi ya Yanga itakayochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam Jumamosi hii.