Thursday, June 14, 2018

Mtoto wa Mugabe adaiwa kodi ya nyumba

 

Harare, Mtoto wa Rais wa zamani wa Zimbabwe Robert Mugabe Russel Goreraza, yuko kwenye wakati mgumu baada ya  kutakiwa kutoka nje ya nyumba aliyopanga kwa kushindwa kulipa kodi.

Mtoto huyo anadaiwa kiasi cha Dola 65, 801 kwa muda aliokaa kwenye nyumba hiyo.

Goreraza, ambaye ni mtoto wa  Mke wa Mugabe hajalipa kodi hiyo kwa miaka mitatu.

 


-->