Ney wa mitego afungiwa kujihusisha na muziki

Rapa wa muziki wa kizazi kipya nchini Ney wa Mitego

Muktasari:

Wimbo huo unaitwa ‘Pale kati patamu’.

Akizungumza Katibu Mtendaji wa Basata, Godfrey Mngereza alisema Ney anatakiwa pia kulipa faini ya Sh1 milioni.

Rapa wa muziki wa kizazi kipya nchini Ney wa Mitego amefungiwa kujihusisha na muziki kwa kipindi kisichojulikana kufuatia wimbo wake alioutoa hivi karibuni.

Wimbo huo unaitwa ‘Pale kati patamu’.

Akizungumza Katibu Mtendaji wa Basata, Godfrey Mngereza amesema Ney anatakiwa pia kulipa faini ya Sh1 milioni.

Kwa taarifa zaidi nunua gazeti lako la Mwananchi au soma mtandaoni kupitia www.epaper.mcl.co.tz