Padri Urassa ateuliwa askofu Jimbo la Sumbawanga

Muktasari:

Awali Padri Urassa alikuwa akihudumu Parokia ya Eslam, Ujerumani

Dar es Salaam. Baba Mtakatifu Francis amemteua Padri Beatus Urassa kuwa Askofu wa Jimbo la Sumbawanga nchini Tanzania.
Padri Urassa wa Shirika la Kazi ya Roho Mtakatifu (ALCP/OSS)hadi wakati wa uteuzi wake alikuwa akihudumu katia Parokia ya Eslam, Jimbo la Regensburg, Ujerumani.