Rais awasili kwenye uzinduzi wa ndege za ATCL

Rais John Magufuli

Muktasari:

Rais atazindua ndege hizo mbili ambazo moja iliwasili jana na nyingine ilifika nchini mnamo Septemba 20.

Rais John Magufuli amewasili katika uwanja wa ndege wa JNIA, kwa ajili ya uzinduzi wa ndege mbili za serikali zitakazotumiwa na ATCL aina ya bombardier Q 400.

Rais atazindua ndege hizo mbili ambazo moja iliwasili jana na nyingine ilifika nchini mnamo Septemba 20.

 Mwandishi wetu, Nuzulack Dausen aliyeko JNIA anaendelea kutujuza yanayojiri.