PRIME Mabadiliko ya Katiba yanapaswa kuhojiwa Wiki iliyopita tuliishia pale Mchungaji Christopher Mtikila aliposhinda kesi ya mgombea binafsi na Serikali kukata rufaa ikashindwa, hoja za Serikali zilishindwa kwa hoja kama ifuatavyo.