Monday, April 16, 2018

Vigogo watatu Tume ya Uchaguzi Kenya wajiuzulu

 

Vigogo watatu wa Tume ya Uchaguzi na Mipaka nchini Kenya (IEBC) wamejiuzulu leo Aprili 16.

Vigogo hao ni pamoja na Mkurugenzi msaidizi wa Tume hiyo, Connie Nkatha Maina, Kamishna  Margaret Mwachanya na  Paul Kurgat.

Hata hivyo mpaka sasa bado hazijatajwa sababu za vigogo hao kuamua kujiuzulu.

-->