MwanzoContactsEmail
Home
BOOKMARK THIS PAGE
Habari Kuu

article thumbnailWabunge CCM wagoma kukutana na Kikwete

WAJIPANGA KUKWAMISHA MUSWADA  MABADILIKO YA KATIBA
Midraji Ibrahim, Dodoma
SASA ni dhahiri kuwa wigo wa mpasuko kati ya wabunge wa CCM na Serikali unazidi kupanuka, baada ya wabunge hao kugoma kukutana na Rais Jakaya Kikwete mjini Dodoma.Katika kikao  [ ... ]

(Comments 92)
Habari
JK akiri hali ni mbaya serikalini
James Magai  RAIS Jakaya Kikwete amekiri kuwa katika kipindi hiki Serikali iko katika hali mbaya kifedha kiasi kwamba inashindwa kutekeleza shughuli katika (Comments 31)
+ Full Story
Wabunge CCM wataka Waziri wa Afya ajiuzulu
Mzimu wa Gadaffi waibukia bungeni
Kipenga cha uchaguzi CCM kupulizwa leo
Polisi Tanga wazuia mkutano wa Hamand Rashid
Chadema, ZEC waingia kwenye mzozo Z’bar
Wataka Kamati ya Maadili CCM ijiuzulu
Biashara
Dk Magufuli kutowasamehee makandarasi w...
WAZIRI wa Ujenzi Dk John Magufuli ametangaza kiyama kwa wakandarasi wote wanaofanya kazi kwa uzembe na chini ya kiwango kuwa hatakuwa na msalia mtume nao. (Comments 4)
+ Full Story
Gallawa afurahishwa na uzalishaji PPTL
Familia 23,000 zafaidika na Pride
Mbunge ataka Serikali ifute kilimo cha tumbaku
Serikali yataka VETA kudahili maradufu
CWT kutoa tamko utata wa malipo ya walimu
Wizara:Msisubiri Tanesco tumieni umeme jua
Michezo
Afrika ya subiri miujiza mingine leo
Sammy Kitula, GabonAFRIKA inasumbili kushuhudia miujiza mingine kwenye robo fainali ya Mataifa ya Afrika, wakati Sudan itakapoikabili Zambia na wenyeji (Comments 0)
+ Full Story
Wachovu Villa Squad kuijaribu Simba
Kumekucha Ligi Daraja la kwanza
Wambura, TFF waendelea kusutana
Yanga yahofia usalama Misri
City yaiombea mema Chelsea kwa Man United
Kipigo cha mkimbiza kocha Ahly
Uchambuzi
Michuano ya Afrika imetufunza umuhimu w...
FAINALI za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) zinaendelea kushika kasi nchini Gabon na Guinea ya Ikweta, ambapo sasa zimefikia hatua ya robo fainali.Timu (Comments 0)
+ Full Story
Utapeli huu katika ndondi umetufika shingoni
Serikali imlipe fidia mbunge aliyevuliwa nguo gerezani
Wananchi wanachezewa shere suala la posho za wabunge?
Ukimya wa Serikali afya ya Dk Mwakyembe ni aibu
Mgogoro wa Serikali, madaktari sasa unahitaji wapatanishi
TFF ifungue akaunti ya Twiga Stars
Makala
Utapiamlo unavyoikosesha Tanzania pato ...
Hadija JumanneUTAPIAMLO ni tatizo sugu hapa nchini, inaaminiwa kuwa TANZANIA ni nchi ya tatu iliyoathirika vibaya na utapiamlo Barani Afrika na ni nchi (Comments 3)
+ Full Story
Kapunga waachwa njiapanda
Vijana na Katiba Ijayo
Kisiwa cha Songosongo kinachoneemeka na mradi wa gesi
Matamasha ya sanaa yalenge kutangaza utamaduni wa Mtanzania
Bagamoyo iliyosahaulika inavyolikosesha taifa mapato
Mikindani na uvuvi wa kijadi!
Mwananchi Jumapili
Wabunge CCM wagoma kukutana na Kikwete
WAJIPANGA KUKWAMISHA MUSWADA  MABADILIKO YA KATIBAMidraji Ibrahim, DodomaSASA ni dhahiri kuwa wigo wa mpasuko kati ya wabunge wa CCM (Comments 2)
+ Full Story
Askofu Kilaini: Tanzania inahitaji Rais kama Kagame
Mgomo wa madaktari bado uko pale pale
Kinana akemea wanaofanya kampeni za urais
Chadema, CCM, CUF zakabana koo Z'bar
Shauri: Polisi walinisulubisha bila hatia, sasa ni mlemavu milele
Dk Kigwangallah: Nipo tayari kuhojiwa CCM
Banner
  • Kupiga Kura

  • Jumapili


Ajali ya Meli ZnZ inatufundisha nini?