Ushuru wa nondo, mabati kutoka nje wapaa Kwa mujibu wa mapendekezo hayo, baadhi ya bidhaa za chuma zitatozwa ushuru wa asilimia 10 au dola za Marekani 125 kwa kila tani moja badala ya asilimia 10 pekee kwa mwaka hivi sasa.
Mzee Onyango afariki dunia, chanzo chatajwa Kwa mujibu wa familia, msiba upo Kawe Triple Seven jijini Dar es Salaam ambako ndugu, jamaa na marafiki wameanza kufika na kutoa pole.
Mashine za kukaushia kucha zaongezewa kodi Mbali na hizo, bidhaa nyingine zinazopendekezwa kuongezewa ushuru ni viatu vya plastiki.
Mitandao inapomharakisha mstaafu Kinondoni! Miaka ilee ya 1970 tulipomaliza vidato na tukajiunga na wazee wetu, kaka zetu na dada zetu kuijenga nchi hii kwa jasho na damu yetu, kitu kinachoitwa sasa “mitandao ya kijamii” kilikuwa bado kipo...
Mpango maalumu kupunguza matumizi chupa za plastiki Hatua hiyo inayolenga kuimarisha uhifadhi wa mazingira na kuchangia mapambano dhidi ya athari za mabadiliko ya tabianchi.
Mexico yaanza vyema, kadi nyekundu zikimwagika Mexico imeanza vizuri Fainali za Kombe la Dunia 2026 baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 katika mechi ya ufunguzi wa mashindano hayo dhidi ya Afrika Kusini.
Mzee Onyango kuzikwa Juni 13 Mazishi ya muigizaji mkongwe wa tasnia ya maigizo Tanzania, Issa Joseph 'Mzee Onyango', yatafanyika Jumamosi Juni 13 , 2026 katika Makaburi ya Kondo Ununio jijini Dar es Salaam.
Teknolojia mpya ya upasuaji, wagonjwa kuruhusiwa siku hiyohiyo Wagonjwa wanaofanyiwa upasuaji nchini, wanatarajiwa kuanza kunufaika na teknolojia ya upasuaji kwa kutumia kamera ndogo utakaopunguza maumivu, kuharakisha kupona na hata kuwawezesha kuruhusiwa...