Refa Msomalia aondolewa Kombe la Dunia kisa Marekani Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), limesema kuwa Mwamuzi wa Somalia, Omar Abdulkadir Artan ameondolewa kuchezesha Fainali za kombe la Dunia 2026.
Ummy atoa kauli kuteuliwa kwake na Rais Samia Ummy ametoa shukurani hizo ikiwa ni siku sita baada ya kuteuliwa kuwa Mshauri wa Rais wa masuala ya afya ya uzazi, mama na mtoto.
Zanzibar yageukia teknolojia ya SRI na uhifadhi shirikishi kunusuru misitu, kuongeza tija katika kilimo
Ummy atoa kauli kuteuliwa kwake na Rais Samia Ummy ametoa shukurani hizo ikiwa ni siku sita baada ya kuteuliwa kuwa Mshauri wa Rais wa masuala ya afya ya uzazi, mama na mtoto.
Bei ya mafuta Zanzibar yapaa licha ya kupokea shehena ya mafuta Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (Zura), imetangaza bei mpya za mafuta kwa Juni 2026 ambapo lita moja kwa kila aina ya mafuta imeongezeka ikilinganishwa na mwezi uliopita.
Refa Msomalia aondolewa Kombe la Dunia kisa Marekani Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), limesema kuwa Mwamuzi wa Somalia, Omar Abdulkadir Artan ameondolewa kuchezesha Fainali za kombe la Dunia 2026.
Maajabu aliyofanya Tupac ndani ya miaka saba Kutoka kuwa mwanafunzi wa ushairi na sanaa mjini Baltimore, Tupac alianza kuonekana katika tasnia kama dansa wa kundi la Digital Underground kabla ya kujijengea jina lake mwenyewe.
Tuchukue mazuri ya Kombe la Dunia 2026 Baada ya kusubiri kwa miaka minne, hatimaye keshokutwa Alhamisi, Fainali za Kombe la Dunia linarejea tena kwa mchezo wa ufunguzi utakaozikutanisha Mexico na Afrika Kusini.
Msemo ‘wanandoa hawana siri’ unavyoibua mjadala Katika safari ya ndoa, kauli “hakuna siri kati ya wanandoa” husikika mara nyingi kama kanuni isiyopaswa kuhojiwa.