Gachagua akataa fidia ya fedha, akusudia kukata rufaa
Aliyekuwa Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua, amekataa fidia ya Ksh50 milioni sawa na (Sh1 bilioni ) alizopewa na Mahakama Kuu kama fidia ya ukiukwaji wa haki zake za kikatiba, akisema kiasi...