Ufahamu ugonjwa wa akili unaoweza kusababishwa na bangi Dar es Salaam. Schizophrenia ni ugonjwa sugu wa muda mrefu unaoathiri afya ya akili ya mtu ambao unaathiri uwezo wa kufikiri, kujifikia na kutenda kadiri ya matarajio ya watu...
Samia ataja maeneo matano ya kipaumbele, Rais wa Singapore asema… Kupitia kongamano hilo, Rais Samia amewaalika wawekezaji wa Singapore kutumia fursa zilizopo katika sekta za bandari na usafirishaji, uongezaji thamani wa mazao ya kilimo na madini, nishati...
Zanzibar yageukia teknolojia ya SRI na uhifadhi shirikishi kunusuru misitu, kuongeza tija katika kilimo
Ufahamu ugonjwa wa akili unaoweza kusababishwa na bangi Dar es Salaam. Schizophrenia ni ugonjwa sugu wa muda mrefu unaoathiri afya ya akili ya mtu ambao unaathiri uwezo wa kufikiri, kujifikia na kutenda kadiri ya matarajio ya watu...
SMZ yakiri changamoto ya kurundikwa vifusi mbele ya nyumba za watu Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imekiri wananchi kuathirika na vifusi vinavyowekwa mbele ya nyumba zao kutokana na ujenzi unaoendelea katika barabara za ndani.
Mashabiki DR Congo wapigwa marufuku Mechi ya mwisho ya maandalizi ya Kombe la Dunia ya DR Congo dhidi ya Chile itachezwa bila mashabiki kutokana na wasiwasi kuhusu mlipuko wa ugonjwa wa Ebola nchini DR Congo.
Rayvanny ndani ya Kombe la Dunia Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Rayvanny, ameendelea kuipeperusha bendera ya Tanzania kimataifa baada ya kutangazwa kuwa miongoni mwa wasanii watakaotumbuiza katika Tamasha la Kombe la Dunia la...
Tuchukue mazuri ya Kombe la Dunia 2026 Baada ya kusubiri kwa miaka minne, hatimaye keshokutwa Alhamisi, Fainali za Kombe la Dunia linarejea tena kwa mchezo wa ufunguzi utakaozikutanisha Mexico na Afrika Kusini.
Serikali yaweka mikakati kukabiliana na magonjwa yasiyoambukiza Wizara na taasisi mbalimbali za Serikali zimeungana kuandaa mikakati ya pamoja ya kukabiliana na magonjwa yasiyoambukiza (NCDs), kufuatia tahadhari ya Shirika la Afya Duniani (WHO) kuhusu...