MwanzoContactsEmail
Home Ajira
BOOKMARK THIS PAGE
Ajira Tanzania - Kazi, Ajira, Tanzania, tafuta kazi, pata ajira, tafuta ajira Tanzania,
Nafasi za Kazi  Send to a friend
Monday, 25 January 2010 09:26

PERSONAL SECRETARY - SOMANGA
Qualification: Holder of form IV/VI certificate with Diploma in secretarial or full secretarial certificate
Apply: Station Manager
SomangaGas plant Tanesco
Box  26 ,Kilwa
Details:Daily News May 08, 2012
Deadline:  May   22, 2012

STOREMAN
Qualification: Tertiary qualifications,valid Tanzania driving license will be added advantage
Apply: This e-mail address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it
Details:Daily News May 08, 2012
Deadline:  May   20, 2012

SITE SERVICES MANAGER
Qualification: Diploma or degree in hotel Management or food & beverage or recognition experience in catering and Accomodation
Apply: This e-mail address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it
Details:Daily News May 08, 2012
Deadline:  May   20, 2012

COMMUNITY RELATIONS MANAGER
Qualification: Bachelor degree in socilogy,economics,community development regional planning
Apply: This e-mail address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it
Details:Daily News May 08, 2012
Deadline:  May   20, 2012

STORE KEEPER FOR - MOROGORO
Qualification: College Diploma on sales and/or marketing
Apply: Human Resources Manager Sao Hill Industry Limited
Box  4730 , Dar es Salaam
Details:Daily News May 08, 2012
Deadline:  May   25, 2012

SALES OFFICER - DODOMA
Qualification: College Diploma on sales and/or marketing
Apply: Human Resources Manager Sao Hill Industry Limited
Box  4730 , Dar es Salaam
Details:Daily News May 08, 2012
Deadline:  May   25, 2012

SALES OFFICER - MOROGORO
Qualification: College Diploma on sales and/or marketing
Apply: Human Resources Manager Sao Hill Industry Limited
Box  4730 , Dar es Salaam
Details:Daily News
May 08, 2012
Deadline:  May   25, 2012

YARD MANAGER - MOROGORO
Qualification: University Diploma om marketing or business administration
Apply: Human Resources Manager Sao Hill Industry Limited
Box  4730 , Dar es Salaam
Details:Daily News
May 08, 2012
Deadline:  May   25, 2012

QUALITY MANAGER
Qualification: Advanced diploma or degree in food technology,laboratories(BLS)from recognized University or College
Apply: Email ;
This e-mail address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it
Details:Daily News May 08, 2012
Deadline:  May   22, 2012

LOGISTIC/WAREHOUSE OFFICER
Qualification: A holder of Certificate of East Africa Customs, Clearing and freight forwading practices from TRA Tax Administration
Apply: Email ;
This e-mail address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it
Details:Daily News May 08, 2012
Deadline:  May   22, 2012

FINANCIAL COTROLLER
Qualification: Bachelor of Commerce degree Accounting or MBA in Finance with mandatory professional qualification in the Accounting profession CPA(T) or equivalent
Apply: email;
This e-mail address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it
Details:Daily News May 08, 2012
Deadline:  May   22, 2012

PERSONAL ASSISTANT MANAGEMENT
Qualification: Advanced Secondary education and Diploma in Secretarial studies
Apply: The Human Resources
Manager, AccesBank 
Box  95061 ,Dar es salaam
Details:Daily News May 11, 2012
Deadline:  May   23, 2012

BRANCH MANAGER - DAR ES SALAAM
Qualification: Degree in Finance,Accountancy, Economics or equivalent full professional qualification  in banking
Apply: The Managing Director 
The Peolpe’s Bank of Zanzibar Ltd
Box  1173 ,Zanzibar
Details:Daily News May 11, 2012
Deadline:  May   25, 2012

TELEPHONE OPERATOR / RECEPTIONIST- UNGUJA
Qualification: National form IV Certificate in Division III plus a certificate in front  Office Management fro a recognized Institution
Apply: The Managing Director 
The Peolpe’s Bank of Zanzibar Ltd
Box  1173 ,Zanzibar
Details:Daily News May 11, 2012
Deadline:  May   25, 2012

CREDIT OFFICER - UNGUJA
Qualification: University degree or Advanced Diploma in Accountancy or equivalent qualifications
Apply: The Managing Director 
The Peolpe’s Bank of Zanzibar Ltd
Box  1173 ,Zanzibar
Details:Daily News May 11, 2012
Deadline:  May   25, 2012

CREDIT OFFICER - PEMBA
Qualification: University degree or Advanced Diploma in Accountancy or equivalent qualifications
Apply: The Managing Director 
The Peolpe’s Bank of Zanzibar Ltd
Box  1173 ,Zanzibar
Details:Daily News May 11, 2012
Deadline:  May   25, 2012

AUDITOR - UNGUJA
Qualification: University degree or Advanced Diploma in Accountancy,Finance,Banking ,Business Adminsistration or Computer Science or equivalent qualification
Apply: The Managing Director 
The Peolpe’s Bank of Zanzibar Ltd
Box  1173 ,Zanzibar
Details:Daily News May 11, 2012
Deadline:  May   25, 2012

FINANCE OFFICER- 2 POSTS (UNGUJA)
Qualification: Holder of degree or Advanced Diploma in Accountancy or equivalent qualifications
Apply: The Managing Director 
The Peolpe’s Bank of Zanzibar Ltd
Box  1173 ,Zanzibar
Details:Daily News May 11, 2012
Deadline:  May   25, 2012

RISK AND COMPLIAANCE OFFICER - UNGUJA
Qualification: Degree in Banking, Finance,Accounting or Business Administration, from recognized University or Institution
Apply: The Managing Director 
The Peolpe’s Bank of Zanzibar Ltd
Box  1173 ,Zanzibar
Details:Daily News May 11, 2012
Deadline:  May   25, 2012

CUSTOMER SERVICES OFFICER
(ISLAMIC BANKING) -DAR ES SALAAM
Qualification: Degree in Banking, Commerce, or Economics, or Business Administration, or Advanced Diploma in Banking or equivalent
Apply: The Managing Director 
The Peolpe’s Bank of Zanzibar Ltd
Box  1173 ,Zanzibar
Details:Daily News May 11, 2012
Deadline:  May   25, 2012

CUSTOMER SERVICES OFFICER
 (  ISLAMIC BANKING) -  PEMBA
Qualification: Degree in Banking, Commerce, or Economics, or Business Administration, or Advanced Diploma in Banking or equivalent
Apply: The Managing Director 
The Peolpe’s Bank of Zanzibar Ltd
Box  1173 ,Zanzibar
Details:Daily News May 11, 2012
Deadline:  May   25, 2012

LEGAL OFFICER  -  UNGUJA
Qualification: University degree in law with bias in Company and Commerical law
Apply: The Managing Director 
The Peolpe’s Bank of Zanzibar Ltd
Box  1173 ,Zanzibar
Details:Daily News May 11, 2012
Deadline:  May   25, 2012

CUSTOMER SERVICES OFFICER -  UNGUJA
Qualification: Degree in Banking, Commerce, or Economics, or Business Administration, or Advanced Diploma in Banking or equivalent
Apply: The Managing Director 
The Peolpe’s Bank of Zanzibar Ltd
Box  1173 ,Zanzibar
Details:Daily News May 11, 2012
Deadline:  May   25, 2012

BANK OPERATIONS OFFICER- UNGUJA
Qualification: Degree in Banking, Commerce, or Economics, or Business Administration, or Advanced Diploma in Banking or equivalent
Apply: The Managing Director 
The Peolpe’s Bank of Zanzibar Ltd
Box  1173 ,Zanzibar
Details:Daily News May 11, 2012
Deadline:  May   25, 2012

TELLER -  3  POSITIONS -  PEMBA
Qualification: Degree in Banking, Commerce, or Economics, or Business Administration, or Advanced Diploma in Banking or equivalent
Apply: The Managing Director 
The Peolpe’s Bank of Zanzibar Ltd
Box  1173 ,Zanzibar
Details:Daily News May 11, 2012
Deadline:  May   25, 2012

TELLER -  2  POSITIONS -  UNGUJA
Qualification: Degree in Banking, Commerce, or Economics, or Business Administration, or Advanced Diploma in Banking or equivalent
Apply: The Managing Director 
The Peolpe’s Bank of Zanzibar Ltd
Box  1173 ,Zanzibar
Details:Daily News May 11, 2012
Deadline:  May   25, 2012

DEPUTY CHIEF FINANCIAL OFFICER
Qualification: A holder of Master’s Degree either in Accounts, Finance,Economics,Public Finance or equivalent qualification
Apply: Managing Director National Development Corporation
Box  2669 ,Dar es Salaam
Details:Daily News May 04, 2012
Deadline:  June   05, 2012

DEPUTY CHIEF EXECUTIVE OFFICER
Qualification: Post Graduate degree in Engineering,(Mechanical Electrical,Civil process,mining or geology),Economics or business Administration
Apply: Managing Director National Development Corporation
Box  2669 ,Dar es Salaam
Details:Daily News May 04, 2012
Deadline:  June   05, 2012

















Add this page to your favorite Social Bookmarking websites
Reddit! Del.icio.us! Mixx! Free and Open Source Software News Google! Live! Facebook! StumbleUpon! TwitThis Joomla Free PHP
Last Updated on Friday, 18 May 2012 14:04
 

Comments 

 
0 #847 theorem 2012-05-22 14:29
unajua ss wa tanzania hatupendani thus y ajira inakua ngumu. lnabidi tubadili mfumo wa maisha na kuacha ukabila. ndo tutakuwa na maendeleo.
Quote
 
 
0 #846 sss 2012-05-22 09:31
asnten sana gazeti letu la mwananchi kwa kutiutangazia nafasi za ajira, lakini tunaomba waweke email addres kila post inayotangazwa kwani kutuma kwa njia ya posta inatumia mda mmrefu kufika hivyo ni vyema kutuma kwa njia ya email.
Quote
 
 
0 #845 albert maimu 2012-05-18 09:03
ajira zimekuwa nguma kwa sababu, (1) hakuna specif year ya mtu aliye ajiriwa kuritire makazini, hata kama ipo basi haizingatiwi especial serikani, tuna ona wazee wanaendelea kufanya kazi wakati mda wao wa kuretire umeshafka, hii inasababisha vijana waliomaliza elimu zao shuleni na katika vyuo kukosa kazi,
(undugu) na rushwa zimezidi, aijalisha nini unafahamu au una elimu gani, bali nani unamfahamu ndio unapata ajira,tuna kwenda hatutofika jamani kama hali ipo hivi
Quote
 
 
0 #844 Victor Bugara 2012-05-18 07:49
Tunashukuru kwa kutupa habari kuhusu nafasi za kazi. Cha msingi kama muda wa tangazo umepita ni bora kulitoa tangazo hilo na kuweka ambalo ni current. Thanks.
Quote
 
 
+1 #843 BERNARD KITULA 2012-05-17 11:55
Hivi ndugu wapenda nchi,suala hili la uzoefu wa miaka mitatu ndo upate ajira linatufaidisha nini wasomi tunaotoka mafunzoni?
Mbona watoto wa vigogo wanapata hizo nafasi mapema sana mara tu wamalizapo masomo?au wao wanapata wapi huo uzoefu wa miaka mitatu?
Tubadilike jamani maana inaumiza sana kuona wimbi la vijana wenye shahada zao wakiranda randa mitaani wakati serikali imetumia pesa nyingi tena za walipa kodi katika kuwasomesha.
Tujadili na kisha tuishauri Serikali maana najua na naamini Serikali yetu ni sikivu.
Quote
 
 
+1 #842 David 2012-05-16 14:06
kazi & Internships at Mercycorps"NGO"- South Sudan.


Kwa niaba ya Mercycorps"NGO" inayoshughuliki a masuala ya watoto Duniani ambayo imefungua tawi jipya katika nchi ya Sudan Kusini inatoa nafasi za kazi pamoja na internships kwa vijana wote waliomaliza elimu ya secondary na vyuo bila kujali utaifa,rangi na dini.

Masharti kwa muombaji

.Uwe na umri unaozidi miaka 18 na usiozidi miaka 45.

.Uwe na Elimu ya Kuanzia Secondary na kuendelea.

.Uwe na rekodi nzuri katika makosa ya jinai kitaifa/kimataifa

.Uweumiliki wa Passport ya Kusafiria na pia uwe tayari kusafiri muda wowote

.Mwaminifu na upo tayari kufanya kazi Mjini na Vijijini
.Uwe na moyo wa kupenda watoto na kuwafundisha

Kwa waombaji watakaofanikish a ajira
.Utapewa makazi bure kwa muda wote wa kazi
.Utapata mafunzo bure ikiwa ni pamoja na utangulizi wa Lugha(Sudanese)
.Atalipwa Mshahara mzuri na na allowances zote
.Atapewa ulinzi kwa muda wake wote wa kufanya kazi hapa
.Kazi itakuwa ya Contract ambapo itakuwa inarudia kila baada ya mwaka mmoja.

*Internships ni kwa wale waliomaliza Diploma ya fani husika na Kuendelea tu.


Kwa Maelezo zaidi tafadhali wasiliana kwa ;


MercyCorps
International "NGO"

Emails:

Website: mercycorps.org/.../southsudan
Quote
 
 
+1 #841 David 2012-05-16 14:04
kazi & Internships at Mercycorps"NGO"- South Sudan.


Kwa niaba ya Mercycorps"NGO" inayoshughuliki a masuala ya watoto Duniani ambayo imefungua tawi jipya katika nchi ya Sudan Kusiniinatoa nafasi za kazi pamoja na internships kwa vijana wote waliomaliza elimu ya secondary na vyuo bila kujali utaifa,rangi na dini.

Masharti kwa muombaji

.Uwe na umri unaozidi miaka 18 na usiozidi miaka 45.

.Uwe na Elimu ya Kuanzia Secondary na kuendelea.

.Uwe na rekodi nzuri katika makosa ya jinai kitaifa/kimataifa

.Uwe na umiliki wa Passport ya Kusafiria na pia uwe tayari kusafiri muda wowote

.Mwaminifu na upo tayari kufanya kazi Mjini na Vijijini
.Uwe na moyo wa kupenda watoto na kuwafundisha

Kwa waombaji watakaofanikish a ajira
.Utapewa makazi bure kwa muda wote wa kazi
.Utapata mafunzo bure ikiwa ni pamoja na utangulizi wa Lugha(Sudanese)
.Atalipwa Mshahara mzuri na na allowances zote
.Atapewa ulinzi kwa muda wake wote wa kufanya kazi hapa
.Kazi itakuwa ya Contract ambapo itakuwa inarudia kila baada ya mwaka mmoja.

*Internships ni kwa wale waliomaliza Diploma ya fani husika na Kuendelea tu.


Kwa Maelezo zaidi tafadhali wasiliana kwa ;


MercyCorps
International "NGO"

Emails:

Website: mercycorps.org/.../southsudan
Quote
 
 
+1 #840 GRACE MCHOME 2012-05-15 20:45
Kwanza kabisa napenda kuchukua nafasi hii kupongeza vyanzo vya habari vinavyojitoa kusambaza habari za kazi maana kwa hakika tumeona ubora wenu, tunaamini wapo wanaopata ajira na kufanikiwa kupitia vyombo hivyo. Ila kwa kweli inakatisha tamaa hata wengine kujiona wana mikosi. Matangazo ya ajira ni mengi ila mafanikio ya kupata madogo sana. iInauma maana unapata elimu kwa shida na ajira kupata shida inakuwa mara mbili ya kusoma hasa kama kipato chako ni cha chini. Huna mtaji wa kujiajiri na pia kutafuta ajira kunahitaji salio. Ila wapendwa tusikate tamaa maana hakuna mafanikio yasiyo na mapito magumu. Kumbuka MCHUMIA JUANI HULIA KIVULINI. Lawana huziba Baraka ila juhudi ni chanzo cha mafanikio. Ahsanteni.
Quote
 
 
0 #839 Augustina M Massawe 2012-05-15 15:49
Ninashukuru kwa taarifa za nafasi hizi za kazi, kwani mnanisaidia nianzie kona gani..kwa kweli moyo mnanipa kuwa kusoma si bure tu kwani kazi zipo...
Asanteni sana
Quote
 
 
+1 #838 cathy marco 2012-05-15 12:18
Cha msingi wajiri muwe waaminifu kwani mnatangaza nafasi za kazi tunaingia ghara za kwenda kwenye inav bila mafanikio. ikiwa mnakuwa na watu wenu heri mnapofanya shot list mwaite wao moja kwa moja.
Quote
 
 
0 #837 bundala shini 2012-05-15 11:19
awali ya yote napenda kutoa shukran zangu za dhati kwa watoa matangazo na wote waliotoa comment juu ya ajira,ombi wasomi
tuskae na kutegemea ajira kutoka serikarini tujialil sisi wenyewe.
Quote
 
 
+1 #836 peles 2012-05-15 09:41
Hongera sana mwananchi kwa kutusaidia kujua nafasi zilizopo, lakini jamani waajiri muwe waaminifu sio mnatangaza nafasi kumbe mna watu wenu tayari, tunakuwa tunaishia kutuma maombi bila mafanikio, hivo sio vizuri bora msitangaze mkiona mna ndugu zenu.
Quote
 
 
+1 #835 BONIFACE FAUSTINE 2012-05-14 13:35
Ningependa kutoa shukrani za dhati kabisa kwa ukurasa huu unaotuwezesha kuelewa sehumu mbalimbali za ajira..... Jamani wasomi ni wengi mno tumejaa mtaani but ajira ni chache ndugu zangu kilichobaki ni kujiajiri, uwe tayari hata kujichimbia kijijini baada ya muda mchache maisha yako yatabadilika....TATIZO WASOMI tunataka kula kwa mteremko.
Quote
 
 
0 #834 Mafuru .S.I.Mafuru 2012-05-14 12:02
naomba nianze kwa kuwapongeza hawa wamiliki wa shule zetu za hapa tanzania,walio wengi wamejitahidi sana kuzifanya ziendane na wakati kwa kuwa na masomo ya ICT. lakini kilio changu kwa hawa wamiliki nimekuwa nikifuatilia shule hizi ukweli matangazo yao yanalenga katika biashara ndio mana wanasema tunafundisha Computer ili mzazi akisikia hivyo anaona kweli hii ndio shule. sasa basi yanayofanyika pale shule nyingi ni madudu hivi kwanini basi mzazi alipe ada yake pale shulen mtoto anacho ambulia ni kucheza games na kusikiliza misik sasa basi wito wangu kwa hawa wanaosema kuwa wanafundisha somo la computer mimi nawaomba sana wajaribu kwanza kuangalia kama mtaala wa computerkatika shule za sekondari au msingi unasemaje Pili wajaribu kuajiri watu ambao ni compintent katika fani hiyo, Kwanini nasema haya ubahili wa kutoa ajira kwa wahusika unafanya mambo haya yaendekienyeji tu.Kwani utakuta mwalimu wa Biology ngie anafundisha pia na computer jamani hebu ifike mahali hayo myaache.Wataaramu waliosoma vizuri wapo wengi jaribuni kuwatangazia nafasi hizo na sikuwa mnaaribu mambo kwa kuwabana walimu kuwarundikia mavipindi ambayo ayawahusu.Nahapo haya mambo ya kusema mtoto anamaliza form hajui hata kutumia publisher wakati kila siku wanatangaza kwenye maradio Tv nk sasa hatuoni kama wanatufanya sisi [NENO BAYA]. Ifike mahali kama kweli mtu ananadi shule na kusema anafundisha computer basi mtoto akitoka hapo ofisi application awe anaijua kuitumia itasaidia sana kulikopolojo ambazo wanatuambia alafu watoto wanachojua nikucheza game na mamiziki na picha za ajabuajabu tu.
Quote
 
 
+1 #833 Selungwi Living 2012-05-12 17:05
Ni wazi kuwa swala la kutangaza ajira linahitaji gharama sawasawa na mtu anayeomba ajira kwenye Idara au taasisi fulani, ni vema basi waajiri wawajibu wote walioandika barua za maombi hata km hajaqualify lkn ni vema kumtaarifu kuwa barua yako imefika ofcn lkn hujakidhi kwa vipengele hivi(wavitaje. hii itasaidia muombaji kujua udhaifu wake na kurekebisha kasoro zake. Otherwise itaonekana kuna wa2 wao hata km hawapo. ni wazo langu tu.
Quote
 

Add comment

Tumia jukwaa ili kutoa maoni ambayo yatasaidia kulijenga taifa letu. Kumbuka, maoni yako yatapitiwa kwanza kabla hayajarushwa hewani!!!!!!


Banner
Banner