Yanga yatuma salamu za pole kwa Simba Uongozi wa Yanga umetuma salamu za pole kwa Simba baada ya ajali iliyotokea na shabiki mmoja wa timu hiyo kufariki dunia. Alifajiri ya leo shabiki mmoja wa Simba amefariki dunia wakati gari...