MwanzoContactsEmail
Home Makala Starehe Kanumba awashukia wanafiki
BOOKMARK THIS PAGE
Kanumba awashukia wanafiki  Send to a friend
Saturday, 28 January 2012 09:37

STEVEN Kanumba amewashukia watu wenye chuki ndani ya tasnia ya filamu ambao hujifanya wema kwa kuonyesha meno wakati roho ni nyeusi tii.

Kanumba ameandika katika mtandao wake wa, www,kanumbathegreat.blogspot.com, akiwaasa watu kuamua moja kuwa moto au baridi.

''Hata tukiwa na uwezo wa kuhamisha milima kama hatupendani ktk tasnia ni kazi bure,kile kilicho moyoni ndio kionyeshe usoni na sivinginevyo,

Kama wanichukia moyoni basi onesha usoni na kama wanipenda moyoni basi onesha usoni na si vinginevyo,Isiwe moyoni wanichukia alafu usoni wanichekea,Hii sanaa ni karama tuliyobarikiwa na Mungu tuitumie vyema kwa ajili ya utukufu wake maana ipo siku atatuuliza na kutudai,

kama katupa bure basi anao uwezo wa kutuny'ang'anya pia''soma Wakorintho uone jinsi Mungu alivyogawa karama hizi na ni kwanini katugawia. alimalizia Kanumba.

Add this page to your favorite Social Bookmarking websites
Reddit! Del.icio.us! Mixx! Free and Open Source Software News Google! Live! Facebook! StumbleUpon! TwitThis Joomla Free PHP
 

Add comment

Tumia jukwaa ili kutoa maoni ambayo yatasaidia kulijenga taifa letu. Kumbuka, maoni yako yatapitiwa kwanza kabla hayajarushwa hewani!!!!!!


Banner
Banner