Hiyo semina ilikuwa na posho ya shillingi ngapi kwa siku? maana inawezekana kabisa mhe. mtikila alitoa wazo la siku mbili baada ya kuangalia na kunogewa na posho ya semina hiyo.
Date
3/12/2010
Jina
Simon komba
Nchi
Tz
Barua pepe
simonkomba28@yahoo.com
Maoni
Tuchukue hatua hali si nzuri kati ya chombo hiki cha dora na raia. Naomba vyombo vya habari vishughulikie matukio haya kwa kuwapa msaada wa kisheria ndugu wanao fuatilia kesi hizi.
Date
3/12/2010
Jina
EddaMwambusi
Nchi
Tanzania
Barua pepe
emwambusi@yahoo.com
Maoni
kwanza asante kwa kuhabarisha lakini tunaomba tuwe tunapatataarifa ni hatua gani imechukuliwa kwa mharifu maana ukatili huu hautaisha maana watu hawaoni ni adhabu gani wanapewa ili wengine waogope.
Date
3/12/2010
Jina
Rahid Ahmed
Nchi
Tanzania
Barua pepe
julliojr@yahoo.co.tz
Maoni
Kwa kweli polisi wetu ni wauaji. Sielewi hayo mafunzo waanayochukua huko PCC Moshi kama yana ufanisi wowote kataika kazi yao. Kinacho onekana ni mabingwa kuliko kusoma saikolojia za watu na kupata majibu yaliyo sahihi. IGP Mwema unayo kazi kubwa sana kwa hilo kundi unaloongoza ambalo zaidi ya asilia 95 hawajui nini wanachotakiwa kukifanya. Baba kaza buti la sivyo utastaafishwa kama Kombe kwa uzembe wa nguruwe wake barabarani.
Polisi jitahidini kujali maisha ya raia mnao walinda.
Date
3/11/2010
Jina
hamis
Nchi
tanzania
Barua pepe
hamisally@yahoo.com
Maoni
Basi ntakuja kuishi zenji maana naishi hapa bara mkoa umeme utokako lakini hauko. Ni nguzo tu zinaninginia hapa mgeta. Sijui matombo kama wamepata. nitahamia zenji hivbi karibuni nistareheshe moyo wangu.
Date
3/11/2010
Jina
DOREEN MATIAS
Nchi
TANZANIA
Barua pepe
domatia@yahoo.com
Maoni
Hata mimi namshangaa huyo prfofesa wa kazi hivi yeye haoni wafanyakazi tunavyonyaswa maisha magumu mishahara inatisha kwa udogo.
Mashirika hasa haya ya ruzuku sasa hivi ndiyo kwanza wanachota hizo ruzuku kwa safari,vikao feki ambavyo lazima viende vifantywe Arusha Ngurdoto Naura springs .
Mimi namshauri ajiuzulu hata kwani yeye anatusaidia nini
Date
3/11/2010
Jina
Michael
Nchi
Tanzania
Barua pepe
mchlzero@yahoo.com
Maoni
Hii miradi barabara ya Serikali yetu ya awamu ya nne ni ya kisanii sana. Wanataka kufungua miradi mingi kwa ajili ya uchaguzi. Kuna miradi ambayo inaendelea sasa serikalia haijawalipa makandari, kwa mfano kampuni ya CHICO pekee inaida serikali si chini ya billion 35, katika miradi yake yote hapa nchini ya barabara, kuna miradi ipo kigoma huku wakandarasi wanataka kusimama kazi kwasababu hawajalipwa miezi mingi. Serikali ipunguze madeni ya ndani, isitake sifa kwa wananchi.
Date
3/11/2010
Jina
ndeajuede
Nchi
tanzania
Barua pepe
honorathajm@yahoo.com
Maoni
hawa watawala huchimba kaburi bila kujua wanawachimbia watoto wao.
wakishakuwa wabunge na mawaziri basi wanaona wameingia peponi! huku wakiwaacha/kuwasukumiza waliowachagua kwenye tanuru la moto. ole wao wafanyao hivyo.
siku zaja watajikuta ktk mkaa walioupalia.
umeme, vifaa vya ujenzi, petroli gharama juu!
iko siku,
mungu ibariki afrika, mungu ibariki tanzania.
Date
3/11/2010
Jina
alfred
Nchi
tz
Barua pepe
alfed1988@yahoo.com
Maoni
Ninyi watu wa serikali mnashangaza sana.Humo humo kwenye utumishi watu wanaghushi mishahara sana tukiwapa taarifa hamchukui hatua,rais ukiambiwa wizara ya utumishi ina miungu watu,unapiga mluzi ukielekea ughaibuni!Mfumuko wa bei unazidi kuongezeka,huna vitendo zaidi ya maneno kama ahadi za ndiyo mzee ya profesa J.barabara tanotano juu na chini,"Ndiyo mzee"mabomba yatatoa maziwa nchi nzima-"ndiyo mzee"Sijui kama wananchi watashtuka safari hii kwani vyombo vya habari vyote ni mamluki!siku tukichoka wote mamluki na ninyi wakoloni CCM mtakiona cha moto.
Date
3/11/2010
Jina
kabwe makanika
Nchi
Tanzania
Barua pepe
kabwe@yahoo.com
Maoni
kuna kasoro katikas utoaji wa tuzo hizo. kwa nini yawe majina makubwa tu? kwa nini tuzo isiende kwa mmoja wa wachezaji wa timu ya taifa ya vijana iliyochukua kombe la dunia la vijana? ama hata timu nzima kwa ujumla!! walichofranya vijana wale ni jambo muhimu na adimu sana katika soka la afrika.
Date
3/11/2010
Jina
Elias Mlawa
Nchi
Tanzania
Barua pepe
emlaw@Unilever Tea Tanzania
Maoni
Tunaomba hata sisi tuliopo mikoani tufikiriwe huo mkopo siyo Dar es Salam tu
Date
3/11/2010
Jina
SAKINA
Nchi
TANZANIA
Barua pepe
SAKINA.ABUBAKARI97@GMAIL.COM
Maoni
kuwa makini
tulia kwanza na angalia msimamo wa kila mmoja usije ukakurupuka kwenye kupenda maana hayo ndiyo maisha yako.maana unayemdhani ndiyo heunda ikawa siyo....so take care....
Date
3/11/2010
Jina
Khamis I Hintay
Nchi
Tz
Barua pepe
hintay2003@yahoo.com
Maoni
Wananchi tunashindwa kuelewa huduma hizi zinatangazwa pesa nyingi sana lakini uwezekano wa kufanya kazi upo? Hii huduma ya bure ya wachina mbona mpaka leo maji hayajatoka na mabomba yamefungwa? acheni uhodari wa matangazo tunaomba uhodari wa kazi
Date
3/11/2010
Jina
salma
Nchi
zanzibar
Barua pepe
ssaid@mwananchi.co.tz
Maoni
Asalamu alaykum.
Hii story mbona haina mashiko? hivi hao mliowauliza walikuwa wanahesabu vipi hizo simu? mbona hiyo story haina uzito mkubwa kwa sababu vipi mtu atapokea simu zake na kuweza kuzihesabu kwa idadi hiyo ya zaidi ya 100?
ingekuwa takwimu hizi zimetolewa na kampuni ya simu ingekuwa ni sawa lakini mtu mmoja mmoja amepokea simu nyingi sana kama mimi mngeniuliza pamoja na kuwa nimepokea simu nyingi takriban wahariri wengi wa tz wa vyombo mbali mbali vya radio, magazeti na televisheni wamenipigia simu na pia sms zilikuwa nyingi sana lakini kwa hakika siwezi kujua zilikuwa ngapi kutokana na wingi wake kwa sababu simu zikiwa nyingi zilizopigwa zinafuta zile nyengine kwa hiyo inakuwa ngumu kujua ngapi labda kwa kukisia unaweza kusema ni nyingi sana. ukenda katika mitandao ndio wengi wameulizia. hata hivyo hongera kwa habari hii na tunamtakia kheri kipenzi cha umma upoe haraka aje kutumalizia maridhiano yetu kwanza. salma said. hamjambo nyote na wewe msomaji wa msg hii?
Date
3/11/2010
Jina
Ephrem Peter
Nchi
Tanzania
Barua pepe
epkirenga177@yahoo.co.uk
Maoni
Waziri Kapuya kuwa safarini isiwe kisingizio cha kutokuwa na taarifa juu ya maamuzi ya TUCTA kutokana na teknolojia ya mawasiliano iliyopo ulimwenguni. Aache kabisa kisingizio hicho. Pia kuonyesha kuwa wizara yake imeshughulikia kesi 16,000 ajue si sifa nzuri ila ni sifa mbaya kwani inaonyesha udhaifu katika kuwa na sheria na taratibu nzuri zinazoeleweka na waajiri na pia wafanyakazi. Wizara yake haijali maslahi ya wafanyakazi wa Serikali na hata wa sekta binafsi mifano ipo mingi.