Maji ya Mto Msimbazi yakipita juu ya daraja na kufurika katika Barabara ya Morogoro eneo la Jangwani na kusababisha kukatishwa kwa muda kwa mawasiliano kutoka Fire kuelekea Magomeni, jijini Dar es Salaam leo, kufuatia mvua zilizoendelea kunyesha. Picha na Michael Matemanga