Diwani wa Kata ya Kunduchi, Michael Urio (kushoto) akimpokea mtoto wa wiki mbili kutoka kwa mama yake, Jesca Lucas baada ya mama na mtoto huyo kunusurika kusombwa na maji kufuatia mvua iliyonyesha Januari 20, 2024, Dar es Salaam. Picha na Said Khamis