Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya NCBA Tanzania, Claver Serumaga (kulia) akiagana na Mkurugenzi Mtendaji wa Mwananchi Communications Limited (MCL), Bakari Machumu baada ya kumaliza ziara yake makao makuu ya MCL Tabata Relini, jijini Dar es Salaam Jumanne, Januari 16, 2024. Picha na Said Khamis