Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba (kushoto) na Waziri wa Mambo ya Nje wa Angola, Balozi Téte António wakisaini hati za makubaliano ya ushirikiano katika sekta ya mafuta na gesi na kuondoleana visa/pasi kwa wenye hati za kusafiria za kidiplomasia na za kikazi, katika afla iliyofanyika mjini Unguja, Zanzibar leo Januari 16,2024. Picha na FA