Rais Samia akutana na Papa Francis wafanya mazungumzo
Rais Samia akisalimiana na Papa Francis wakipokutana na kufanya mazungumzo ya faragha mjini Vatican, leo Februari 12, 2024. Picha na Vatican Media / AFP
Photo: 1/5
Papa Francis akiwa katika mazungumzo ya faragha na Rais Samia Suluhu Hassan yaliyofanyika mjini Vatican, leo Februari 12, 2024. Picha na Vatican Media / AFP
Photo: 2/5
Rais Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Papa Francis zawadi baada ya kukutana na kufanya mazungumzo mjini Vatican, leo Februari 12, 2024. Picha na Vatcan Media / AFP
Photo: 3/5
Photo: 4/5
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiondoka baada ya mazungumzo ya faragha na Papa Francis yaliyofanyika San Damaso mjini Vatican, leo Februari 12, 2024. Picha na AFP