Rais Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa Kenya, William Ruto, Rais mstaafu, Jakaya Kikwete pamoja na viongozi mbalimbali wakati wakielekea kwenye hafla ya uzinduzi wa sanamu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere iliyopo katika Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU), Addis Ababa nchini Ethiopia, Leo Februari 12, 2024. Picha na Ikulu