Viongozi wapya wa Chama cha ACT Wazalendo wakiwa kwenye picha ya pamoja kutoka kushoto ni Makamu Mwenyekiti (Bara), Isihaka Machinjita, Kiongozi wa chama, Dorothy Semu, Mwenyekiti wa chama, Othman Masoud Othman na Makamu Mwenyekiti (Zanzibar), Ismail Jussa, jijini Dar es Salaam, Machi 6, 2024. Picha na ACT-Wazalendo