Wafanyakazi wanawake wa kampuni ya Mwananchi Communications Ltd (MCL), leo Machi 8, 2024 wametembelea na kutoa misaada mbalimbali katika Gereza la Segerea, jijini Dar es Salaam ikiwa ni kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani. Misaada hiyo imelenga kuwasaidia wafungwa wanawake na wale waliojifungua watoto wakiwa gerezani. Picha na Loveness Bernard