Muumini wa dini ya Kiislamu, Hussein Abdallah akitoa sadaka muumini mwenzake baada ya swala ya Eid El Fitri katika viwanja vya Msikiti Mkuu wa Ijumaa wilayani Handeni leo, April 10, 2024, ikiwa ni kukamilisha nguzo hiyo ya funga. Picha na Rajabu Athumani