Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ameshindwa zuia hisia na maumivu aliyonayo kutokana na kifo cha Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa baada ya kumwaga machozi hadharani wakati akiwapa pole Mjane wa Marehemu Lowassa, Mama Regina na mtoto wa kwanza wa Lowassa, Fredrick alipowasili msibani Monduli, leo Februari 16, 2024. Picha na Said Khamis