Burudani
Makala
Habari nyingine
Hadithi
Kolamu
Maoni ya wasomaji
Habari na Picha
Nafasi za kazi
Kona ya Marafiki
 
 
 
Date::8/17/2009
Mtiririko wa mkasa wa Zombe na wenzake
Januari 14, 2006 watu waliosadikiwa kuwa majambazi wauawa

Januari 15, 2006. Zombe atangaza kuua majambazi wanne

Januari 16/17, 2006, Utata waibuka kuwa waliouawa hawakuwa majambazi

Januari 23, 2006 Rais aunda Tume ya Jaji Kipenka kuchunguza mauaji

Januari 24, 2006: Tume yaapishwa na kupewa siku 21 za kufanya kazi.

Februari 17, 2006: Tume yakabidhi taarifa yake kwa Rais Kikwete

Februari 20, 2006: Mwanzo wa kesi askari 11 (bila Zombe)

Juni 9, 2006: Zombe apandishwa kizimbani na kusomewa mashtaka .

Juni 15, 2006: Zombe afutiwa shtaka la mauaji ya wafanyabiashara hao

Septemba 28, 2006: Washtakiwa wote wapandishwa kizimbani

Mei, 2008: Kesi yaanza kusikilizwa

Juni 12, 2008: Mwisho wa awamu ya kwanza ya sehemu ya kwanza

Septemba Mosi:Awamu ya pili (sehemu ya kwanza)

Septemba 2, 2008: Zombe, Koplo Lema wazozana

Februari 3, 2009: Koplo Lema ngonjwa

Februari 10: Zombe aanza kujitetea

Machi 2, 2009: Koplo Lema alazwa. Hali yake yabadilika

Aprili 3, 2009:Koplo Lema afariki saa 10:00 za alfajiri hospitali ya Ocean Road.

Aprili 21, 2009: Wakili wa Zombe, Moses Maira afariki akiwa Marekani

Mei 6, 2009: Mahakama yafunga rasmi ushahidi wa utetezi.

Juni 26, 2009: Majumuisho / maoni ya Wazee wa Baraza

Agosti 17. Hukumu.

*Mtu anayesadikiwa kuwa alitekeleza mauaji kwa kuwapiga risasi wafanyabiashara hao, Saad Alawi hakupatikana tangu kuanza kwa mkasa huo.

Facebook
        Contact Us DISCLAMER
Email:webmaster@mwananchi.co.tz © Mwananchi Communications Ltd 2006-