Mgombea Urais kupitia Chadema Edward Lowassa akirumbana na polisi jana kwenye daraja la Nduruma Arusha jana, baada ya kufunga barabara ya Sabasaba ili kumzuia wakati akitokea kwenye Uwanja wa Tindigani alipokwenda kusaka wadhamini wa Urais , hata hivyo baada ya mazungumzo nao walimkubalia kupita barabara hiyo na kuzuia msafara wake. katikati ni Mwenyekiti wa chadema wilaya ya Arusha, Derick Magoma Picha na Mussa Juma