Kamishna wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Nec Profesa Amon Chaligha akifafanua jambo kwa wandishi wa habari kuhusu maadili ya Uchaguzi na Mwendelezo wa Uandikishaji wa BVR (katikati)ni Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Damiani Lubava na Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi,Jaji Mstaafu Hamid Mahmoud Hamid.Picha na Beatric Moses