Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Quality Group, Yusuf Manji (kulia) akiwa na Mwakilishi wa Balozi wa Japan nchini, Hiroyuki Kubota, Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya General Motors, East Africa, Mario Spangenberg, Ofisa Mtendaji Mkuu Mwandamizi wa Kampuni ya Isuzu ya Japan, Toru Nataka kwenye hafla ya kukata utepe kuashiria uzinduzi wa kampuni ya Quality Automotive Mechanization Limited. Picha na Maimuna Kubegeya