Picha Uzinduzi wa Kampeni za CCM Jumatatu, Agosti 24, 2015 — updated on Machi 25, 2021 Rais Jakaya Mrisho kikwete akihutubia Photo: 1/10 View caption Joseph Warioba akihutubia Photo: 2/10 View caption Baadhi ya viongozi wakiingia katika mkutano Photo: 3/10 View caption Msanii Diamond akitumbuiza kwenye ufunguzi wa Kampeni za CCM 2015 katika viwanja vya Jangwani Photo: 4/10 View caption WanaCCM wakisalimiana katika mkutano wa ufunguzi wa kampeni 2015 Photo: 5/10 View caption Mgombea urais wa CCM, Pombe Magufuli akiingia na mgombea mwenza Photo: 6/10 View caption Baadhi ya mashabiki wa CCM wakifurahia jambo katika mkutano huo Photo: 7/10 View caption Maelfu ya mashabiki wa CCM wakisikiliza hotuba katika mkutano huo Photo: 8/10 View caption Baadhi ya wanachama wakifuatilia jambo Photo: 9/10 View caption Rais Kikwete akiwatambulisha wagombea urais katika mkutano huo na kuonesha Ilani ya chama kwa mwaka huu Photo: 10/10 View caption Please enable JavaScript to view the comments powered by Disqus. Join the discussion Login with your Nation account Commenting as Please add your name to your Nation profile to comment
Mgawo wa maji watikisa mijini, vijijini Licha ya wingi wa rasilimali maji zilizopo nchini, upatikanaji wa maji safi na salama, bado ni changamoto kwa wananchi ambao baadhi hupata maji kwa mgawo, huku wengine hasa vijijini wakitegemea...
Bei ya mafuta yazidi kushuka Bei ya mafuta imeendelea kushuka, baada ya Ewura kutangaza bei mpya kuanzia kesho, ambapo lita moja ya petroli itauzwa Sh2, 886, dizeli Sh3083 na mafuta ya taa Sh3, 275 kwa lita.
Rais Samia aomba mjadala changamoto bunifu sekta ya afya Rais Samia Suluhu Hassan ameziomba Jumuiya ya Kimataifa kujadili changamoto tatu zinazorudisha nyuma juhudi za kufanya bunifu kwenye sekta ya afya