Mfuasi wa Ukawa akitoa ishara ya kuchinja wakati wa uzinduzi wa kampeni za Ukawa, viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam. Picha zote na Mpiga Picha Wetu.
Photo: 1/8
Mfuasi wa Ukawa akionesha bango katika mkutano huo.
Photo: 2/8
Mgombea urais wa Ukawa, Edward Lowassa akiwa na mgombea mwenza, Juma Duni Haji wakiingia katika viwanja vya Jangwani.
Photo: 3/8
Madoido ya kila aina yalitawala mkutano huo wa ufunguzi wa kampeni za Ukawa, jijini Dar.
Photo: 4/8
Mfuasi wa Ukawa akiimba wakati wa ufunguzi wa kampeni hizo jana.
Photo: 5/8
Mfuasi wa Ukawa akishangilia jambo.
Photo: 6/8
Baadhi ya wasanii wa filamu nchini waliokuwepo katika kampeni hizo Jangwani.
Photo: 7/8
Mmoja wa watu waliopoteza fahamu kutokana na msongamano wa watu akipatiwa huduma ya kwanza.