Rais Kikwete na Kinana wakipitia magazeti kabla ya kuanza kikao cha Halmashauri Kuu.
Photo: 3/8
Meya wa Ilala, Jerry Slaa akipiga kura katika mkutano huo.
Photo: 4/8
Rais wa Zanzibar, Dk Ali Muhamed Shein akipiga kura yake kupata jina moja kati ya matatu yaliyoingia tatu bora.
Photo: 5/8
Mwenyekiti wa CCM, Rais Kikwete akinyanyua mikono ya Dk John Magufuli baada ya kutangazwa kuwa ndie atakaye peperusha bendera ya CCM uchaguzi wa rais Oktoba.