Meneja wa Kampuni ya Bia ya (TBL) Mwanza, Raymond Richmond akimwonesha mwandishi wa habari, Daniel Mkate pumba zinazotumika kuzalisha nishati ya umeme kwa kuendeshea mitambo ya kiwanda hicho.Katikati ni Meneja wa Maji na Nishati wa kampuni hiyo, Sunday Kidolezi