Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe (wa pili kulia) akiwa na wenzake wa kambi ya upinzani wakitoka bungeni jana. Wabunge hao walisusa kuendelea na vikao vya Bunge kupinga uamuzi wa Naibu Spika, Dk Tulia Ackson kukataa kujadiliwa kwa hoja ya kutaka Bunge lijadili haki, kinga na madaraka Bunge wakisema Jeshi la Polisi limefululiza kuwakamata wabunge wa kambi hiyo. Picha na Emmanuel Herman