UNAONA! Mke wa Rais, Mama Janeth Magufuli (kushoto) na mke wa Waziri Mkuu, Mary Majaliwa wakionyeshana kielele cha Kilima cha Sukamahela inakosemekana ndiko ilipo alama ya kuonyesha katikati ya Tanzania, walipotembelea makazi ya wazee wasiojiweza Sukamahela, Wilaya ya Manyoni mkoani Singida, juzi. Picha na Ikulu