USULUHISHI BURUNDI: Msuluhishi wa mgogoro wa Burundi, Benjamin Mkapa (kushoto) akisalimiana na Katibu mkuu wa chama tawala cha Burundi, CNDD-FDD, Evariste Ndayishimiye baada ya kikao cha kutafuta suluhu jijini Arusha wiki iliyopita. Katikati ni Mjumbe wa Umoja wa Mataifa nchini humo, Jamal Benomar. Picha na Filbert Rweyemamu