ZINGATIA: Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa maelekezo kwa Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage alipotembelea karakana ya Kiwanda cha Tamco kinachounganisha matrekta kilichopo Wilaya ya Kibaha, mkoani Pwani jana. Picha na Sanjito Msafiri