Baadhi ya Washiriki wa Kongamano la Biashara, Viwanda na Uwekezaji lililofanyika Guangzhou China Oktoba 2017 wakiwa katika picha ya pamoja na Mgeni Rasmi wa Kongamano hilo Profesa ADOLF Mkenda (Katibu Mkuu wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji anayeshughulikia Uwekezaji, Wa pili kushoto kwa Profesa Mkenda ni FRANCIS Assenga, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TADB na kulia kabisa wakiokaa ni Du Chuan, Mkurugenzi wa Biashara ya Mihogo wa Shirika la Sinolight International Holdings la China linayojishughulisha na uzalishaji na uagizaji wa mihogo toka nje.